2 Sep 2025 10:22 am | Citizen TV 169 views Duration: 3:01 Umasikini na mapuuza ya wakazi wa kaunti ya Busia ya kutembelea vituo vya afya ili kufanyiwa ukaguzi wa afya ya macho, umesababisha ongezeko la magonjwa ya macho na hata upofu hasa miongoni mwa wazee