2 Sep 2025 10:18 am | Citizen TV 511 views Duration: 1:20 Mwanaume mmoja mwenye umri wa miaka 27 amefikishwa katika mahakama ya Garissa kwa tuhuma za ulanguzi wa binadamu kaunti hiyo