2 Sep 2025 10:17 am | Citizen TV 4,327 views Duration: 1:02 Mahakama ya Narok imeamuru kuwa mshukiwa mkuu wa mauaji ya mwanafunzi wa gredi ya nne shuleni Julius Swakesi Rankesi atasalia korokoroni kwa wiki mbili zaidi ili kutoa nafasi ya uchunguzi