- 1,795 viewsDuration: 8:10Gavana wa Bomet Hillary Barchock na aliyekuwa gavana wa Bungoma Wycliffe Wangamati pamoja na watu wengine kumi wamefikishwa mahakamani milimani kwa tuhuma za ufisadi. Wangamati na wenzake walijiwasilisha katika makao makuu ya kupambana na ufisadi hapa nairobi na kuhojiwa kabla ya kufikishwa mahakamani leo