2 Sep 2025 10:34 am | Citizen TV 499 views Duration: 1:55 Wakulima wa kahawa kutoka kaunti kumi na Moja humu nchini wametishia kutoa huduma za mauzo ya kahawa kutoka soko la Nairobi (NCE) iwapo serikali itaendelea na mpango wa malipo ya Moja kwa Moja ya DSS