- 238 viewsDuration: 2:07Vijana wametakiwa kujiepusha na utumizi wa dawa za kulevya na badala yake kujihusisha na mambo yanayoweza kuwafaidi kama michezo. Mbunge wa Mbooni Erastus Kivasu Nzioka anasema vijana wanaweza kutumia talanta zao kujikimu kimaisha badala ya kujitosa kwenye uhalifu au mihadarati