2 Sep 2025 10:46 am | Citizen TV 277 views Duration: 2:08 Katibu katika wizara ya vyama vya ushirika Patrick Kilemi anasema serikali imeanza mikakati ya kudhibiti uuzaji wa zao la Miraa kupitia vyama vya ushirika