- 353 viewsDuration: 2:52Huku tume ya uchaguzi na kuratibu mipaka nchini ya IEBC,ikitarajiwa kuanza zoezi la kuwasajili wapigakura wapya kuanzia septemba 29, viongozi kutoka maeneo ya wafugaji wametoa changamoto Kwa jamii hiyo kujitokeza na kujisajili zoezi Hilo litakapoanza