- 4,425 viewsDuration: 35sGavana wa Bomet Hillary Barchok amefikishwa mahakamani na kushtakiwa kwa ufisadi. Barchok akikanusha mashtaka toye matatu yaliyomkabili na kujumuisha miongoni mwa mengine mgongano wa maslahi, kupata mapato kwa ulaghai na kutumia pesa za uhalifu. Barchok alifikishwa mahakamani baada ya kulala seli hapo jana