Skip to main content
Skip to main content

Sheria ya marufuku mpenzi ya jinsia moja Burkinafaso ina maanisha nini

  • | BBC Swahili
    18,116 views
    Duration: 1:11
    Serikali ya kijeshi ya Ibrahim Traoré nchini Burkina Faso imepitisha sheria inayopiga marufuku mahusiano ya jinsia moja, ikiwa ni zaidi ya mwaka mmoja baada ya pendekezo la kuhalalisha adhabu kwa mahusiano hayo. Sheria hiyo mpya inaruhusu kifungo cha hadi miaka mitano kwa wahusika, huku raia wa kigeni wakitakiwa kuondoka nchini endapo watapatikana na kosa hilo. Kwa Afrika Mashariki Uganda ndio kinara wa marufu yenye adhabu kali ya kifo. Mwandishi wa BBC @frankmavura anatujuza zaidi #bbcswahili #burkinafaso #uganda Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw