5 Sep 2025 10:15 am | Citizen TV 200 views Duration: 2:49 Tume ya kitaifa ya kutetea haki za kibidamu KNCHR imeandaa mafunzo kwa wanahabari wa kaunti ya Garissa jinsi ya kuripoti kuhusu dhulma dhidi ya binadamu na sheria zinazolinda waathiriwa wa dhulma hizo