- 125 viewsDuration: 1:38Mafunzo ya siku nne ya maendeleo ya uongozi ya kundi la pili katika chuo cha mafunzo ya wafanyakazi wa serikali yamekamilika. Mafunzo ya chuo cha uongozi cha IGAD kwa ushirikiano na serikali ya japan yanawaleta pamoja viongozi vijana ambao ni wanachama wa IGAD