- 7,667 viewsDuration: 1:05Tazama mashindano haya ya mieleka ya mafuta Washindan hawa walijipakwa mafuta ya mzeituni katika mashindano haya ya enzi za Milki ya Ottoman. Mwandishi wa BBC @frankmavura anatusimulia zaidi. #bbcswahili #mieleka #ottoman Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw