Skip to main content
Skip to main content

"Mwanangu ana cheo kikubwa kuliko mimi kwenye siasa"

  • | BBC Swahili
    12,632 views
    Duration: 1:31
    Nurdin Bilal @officialshetta anajulikana kwa nyimbo mbalimbali kama vile Nidanganye, Mama Qayla Kerewa na nyingine nyingi. - Amezungumza na loko_omi masuala mbalimbali ikiwemo binti yake kujihusisha na siasa, mustakhabali wake kimuziki na mengine mengi - Unaweza kufuatilia mahojiano kwa urefu zaidi katika Youtube ya BBCSwahili #bbcswahili #tanzania #nyotawaafrikamashariki Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw