1,744 views
Duration: 1:43
Programu ya Flo, ambayo ni maarufu kwa kusaidia wanawake kufuatilia mzunguko wa hedhi, hivi karibuni ilishtakiwa kwa madai ya kutoa taarifa binafsi za watumiaji wake kwa kampuni ya Facebook, bila ruhusa wazi ya watumiaji.
-
Hata hivyo Flo imekubali kuitatua kesi hiyo nje ya mahakama ingawa inasisitiza kwamba hiyo haimaanishi kukubali kosa.
-
@martha_saranga anaelezea zaidi
-
-
-
#bbcswahili #afya #wanawake
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw