18,681 views
Duration: 28:10
Waziri mkuu wa Israel, Benjamin Netanyahu, ameonya kwamba mashambulizi zaidi yanaweza kufanyika dhidi ya maafisa wa Hamas walioko Qatar, iwapo hawatafukuzwa nchini humo.Qatar imejibu kwa hasira, ikisema matamshi ya Netanyahu ni “ya kutojali” na kuendelea kusema Israel ilikuwa inafahamu kwamba Qatar ni mwenyeji wa maafisa wa Hamas katika mchakato wa kutafuta amani kufuatia ombi la Marekani na Israel yenyewe.
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw