Skip to main content
Skip to main content

Kwa nini Rais wa zamani wa DRC Joseph Kabila amehukumiwa kifo? Katika Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    23,930 views
    Duration: 28:10
    Mahakama ya kijeshi nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo imetoa hukumu ya kifo kwa rais wa zamani Joseph Kabila kutokana na makosa kadhaa, ikiwemo uhalifu wa kivita. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw