Skip to main content
Skip to main content

Julius Kirwa atuzwa kocha bora wa mwezi na SJAK

  • | KTN News
    116 views
    Duration: 1:36
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews Mkufunzi wa kikosi cha riadha kilichowakilisha Kenya katika Riadha za Dunia 2025 Tokyo, Japan, Julius Kirwa, ametuzwa kocha bora wa mwezi Septemba kwa mujibu wa Chama cha Wanahabari wa Michezo nchini (SJAK). Kirwa aliwaongoza Wakenya kuzoa jumla ya medali 11 na kumaliza nafasi ya pili katika mashindano hayo. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews