Skip to main content
Skip to main content

Mabadiliko ya tabianchi yahatarisha uchumi wa mataifa duniani

  • | KTN News
    75 views
    Duration: 2:05
    Huku madhara ya mabadiliko ya tabianchi yakizidi kuonekana na kuhatarisha uchumi wa mataifa mbalimbali, wadau katika sekta ya mazingira wametoa wito wa kuimarishwa kwa juhudi za upanzi wa miti. Kwa mujibu wa washikadau hao, ongezeko la upanzi wa miti litasaidia kupunguza athari za mabadiliko ya hali ya hewa na kulinda rasilimali za kiasili zinazotegemewa na jamii kwa maendeleo ya kiuchumi na kijamii. #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews