Skip to main content
Skip to main content

Rais Samia Suluhu atoa wito wa mazungumzo na upinzani kufuatia machafuko ya uchaguzi Tanzania

  • | Citizen TV
    15,493 views
    Duration: 2:14
    Haya yakijiri, Rais Samia Suluhu wa Tanzania sasa ametaka mazungumzo na upinzani wa taifa hilo baada ya uchaguzi uliokumbwa na utata na ghasia. Wito huu ukitoewa siku moja baada ya kukamatwa kwa katibu mkuu wa chama cha upinzani cha CHADEMA Amani Golugwa kwenye msako wa kuwatafuta washukiwa wa ghasia za baada ya uchaguzi