Skip to main content
Skip to main content

Waziri Mvurya aangalia maandalizi ya Siku ya Mashujaa Kitui

  • | KTN News
    2,701 views
    Duration: 2:05
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Waziri wa Michezo, Salim Mvurya, amezuru kaunti ya Kitui leo ili kutathmini maandalizi ya maadhimisho ya Siku ya Mashujaa, akiwa ameandamana na Katibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Raymond Omollo, pamoja na makatibu wawili wa wizara nyingine. Akizungumza katika uwanja wa Ithookwe, Mvurya alipongeza hatua zilizopigwa katika kukamilisha ujenzi wa uwanja huo, ambao kwa sasa uko asilimia 96 ya kukamilika. Waziri huyo alisema kuwa ingawa walikuwa wamepanga kukabidhi rasmi uwanja huo kwa Kamati ya Maandalizi leo kwa ajili ya maandalizi ya mwisho, tarehe hiyo imeahirishwa hadi Jumanne wiki ijayo, wakati kazi zilizobaki zitakapokuwa zimekamilika. Katibu wa Wizara ya Mambo ya Ndani, Raymond Omollo, ambaye pia alizungumza, ameahidi kuwa uwanja huo utakamilika kabla ya tarehe ya mwisho iliyowekwa. Gavana wa Kitui, Julius Malombe, kwa upande wake, aliishukuru serikali kuu kwa maendeleo makubwa yaliyoleta katika kaunti ya Kitui. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews