Skip to main content
Skip to main content

IEBC yakabiliwa na idadi ndogo ya wapiga kura wajasajiliwa

  • | KTN News
    920 views
    Duration: 2:55
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Tume Huru ya Uchaguzi na Mipaka nchini (IEBC) inakabiliwa na kibarua cha kutatua kizungumkuti cha idadi ndogo ya Wakenya wanaojitokeza kusajiliwa kama wapiga kura. Wiki ya kwanza ya zoezi hilo ilishuhudia mwitikio mdogo, hali iliyozua wasiwasi kwamba huenda tume hiyo ikashindwa kutimiza lengo lake la kusajili wapiga kura milioni 6.3. Kama anavyoarifu mwanahabari wetu Geff Kirui, IEBC imetakiwa kuwajibika zaidi katika kuhamasisha Wakenya kuhusu umuhimu wa kujisajili ili kushiriki katika mustakabali wa uongozi nchini. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews