Skip to main content
Skip to main content

Harakati za kisiasa zinazidi kuimarika kabla ya uchaguzi mkuu

  • | KTN News
    6,093 views
    Duration: 5:01
    #ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews 🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub Welcome to the 24/7 KTN Kenya News Channel on YouTube – your trusted source for the latest news and updates in Kenya and beyond. Kampeni za chaguzi ndogo zinazotarajiwa kufanyika Novemba 27 zimeanza kuibua mabadiliko ya kisiasa nchini, zikionekana kama kipimo cha nguvu kabla ya uchaguzi mkuu wa 2027. Vyama vinavyounda muungano wa upinzani vimekubaliana kumuunga mkono mgombeaji mmoja katika kila nafasi, bila kuzingatia chama anachowakilisha, hatua inayolenga kuimarisha umoja wao. Hata hivyo, ndani ya muungano wa Kenya Kwanza, baadhi ya wanasiasa wameamua kuwaunga mkono wapinzani wao, wakitaja tofauti za kisiasa ndani ya mrengo huo. Hali hii imechochea mabadiliko zaidi, huku wawakilishi wawili wa wadi kutoka eneo bunge la Mbeere Kaskazini, kaunti ya Embu, wakithibitisha kujiuzulu nyadhifa zao rasmi. Stay informed with our comprehensive news coverage, breaking stories, in-depth analysis, and exclusive reports. Our live-streaming service brings you real-time updates on current affairs, politics, business, technology, health, entertainment, and much more. Join us and be a part of the conversation, and don't forget to subscribe for the latest news and updates. Stay connected with KTN Kenya News, your reliable news partner. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos: https://www.youtube.com/ktnnewskenya Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond. Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live Watch KTN News http://www.ktnnews.com Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews Like us on http://www.facebook.com/ktnnews