Skip to main content
Skip to main content

Je wewe ni mkali wa hesabu au zinakushinda hata usome?

  • | BBC Swahili
    3,000 views
    Duration: 2:02
    Utafiti unaonyesha kuwa kuna watu huwa na uwezo wa asili katika hisabati kutokana na vinasaba vyao. Hata hivyo, sisi sote tunaweza kuboresha uwezo wetu, na namna tunavyohisi kuhusu hisabati inaweza pia kuleta tofauti kubwa. - - #bbcswahili #utafiti #hisabati Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw