- 5,904 viewsDuration: 1:30Kutana na kundi hili la wazee walio na umri wa miaka 70 na 80 ambao wameamua kujitafutia kipato kwa kuanzisha kituo cha kuosha magari. - Wazee hawa wanaonyesha jinsi wanavyounda jamii yenye mshikamano na kusaidia familia zao. - #bbcswahili #nigeria #wazee Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw