Skip to main content
Skip to main content

Mateka 20 wa Israel wameachiliwa huru na Hamas

  • | BBC Swahili
    15,010 views
    Duration: 50s
    Mateka 20 wa Israel wameachiliwa huru na Hamas na kijunga na familia zao nchini Israel. Katika mpango huo wa makubaliano ya Hamas na Israel, karibu wafungwa 2,000 wa kipalestina pia waliachiliwa. Hamas pia imechilia miili minne ya mateka kati ya miili 28. Rais wa Marekani Donald Trump mapema leo alikuwa nchini Israel ambapo alihutubia bunge la taifa hilo, na baadaye kuondoka kuelekea Misri. @RoncliffeOdit anaangazia taarifa hii na mengine mengi mwendo wa saa tatu usiku wa leo, mubashara kwenye Dira ya Dunia TV kupitia ukurasa wa YouTube wa BBC Swahili. #bbcswahili #gaza #israel Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw