Skip to main content
Skip to main content

Mwisho wa vita Gaza? Trump na viongozi wa dunia wasaini makubaliano nchini Misri

  • | BBC Swahili
    6,972 views
    Duration: 10:35
    Rais wa Marekani Donald Trump na viongozi wengine 20 wa dunia wamekutana nchini Misri na kutia saini awamu ya kwanza ya mkataba wa amani wa Gaza. Rais wa mamlaka ya Palestina Mahmoud Abbas amehudhuria kikao hicho pamoja na maafisa wakuu wa Qatar, ambao wamehusika pakubwa katika juhudi za kutafuta amani Gaza. Hata hivyo maafisa wa kundi la Hamas hawakuhudhuria kikao hicho cha leo. #dirayaduniatv