4,156 views
Duration: 2:44
Mgombea wa upinzani wa Cameroon, Issa Tchiroma, amedai kuwa ameshinda uchaguzi wa urais uliofanyika Oktoba 12, akimtaka Rais Paul Biya kukubali kushindwa na "kuheshimu ukweli wa sanduku la kura".
Biya, mwenye umri wa miaka 92, ambaye ni kiongozi mwenye umri mkubwa zaidi duniani aliye madarakani, anawania muhula wa nane baada ya kuwa madarakani kwa miaka 43.
Huku Matokeo rasmi bado yakisubiriwa kutangazwa, Je Biya atafurukuta?
#bbcswahili #cameroon #paulbiya #uchaguzi2025
Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw