- 9,509 viewsDuration: 5:21Mahakama ya kikatiba nchini Madagascar imethibitisha kuwa kanali Michael Randrianirina amechukuwa hatamu ya uongozi wa nchi hiyo. Mahakama hiyo pia imethibitisha kwamba nafasi ya rais wa taifa hilo na rais wa bunge la seneti sasa ziko wazi. Mahakama ilichukua uamuzi huo licha ya kuwa jeshi limesitisha shughuli zake. #dirayaduniatv