Skip to main content
Skip to main content

Kenya yaomboleza kifo cha Raila Odinga. Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    82,568 views
    Duration: 28:10
    Aliyekuwa waziri mkuu wa Kenya na kinara wa chama cha ODM Raila Odinga ameaga dunia. Kwa mujibu wa taarifa iliyowasilishwa na Rais William Ruto mapema leo, Raila alifariki alipokuwa akipokea matibabu katika hospitali ya Devamatha iliypo mjini Keralla nchini India. #RailaOdinga #Kenya #bbcswahili Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw