Skip to main content
Skip to main content

Wakenya wamuomboleza Raila Amollo Odinga.Katka Dira ya Dunia TV

  • | BBC Swahili
    24,698 views
    Duration: 26:40
    Wakenya wapata fursa ya kumuaga kiongozi wa ODM Raila Odinga katika uwanja wa Kasarani, kwenye siku iliyoshuhudia umati mkubwa wa watu uliotaka kutoa heshima zao za mwisho. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw