Skip to main content
Skip to main content

Randrianirina kuapishwa kuwa rais wa Madagscar

  • | BBC Swahili
    10,587 views
    Duration: 44s
    “Nitatekeleza kikamilifu, kwa ukamilifu na kwa haki majukumu makuu ya wadhifa wangu kama Rais wa Jamhuri ya Madagascar,” alisema Randrianirina katika hafla ya kuapishwa katika Mahakama ya Katiba Kuu. - - #bbcswahili #madagascar🇲🇬