#ktnnews #KTNNewsDigital #ktnkenya #KTNTV #KTNHome #KenyaNews
🔴 LIVE: US Election Day 2024: KTN News Kenya | Breaking News & Entertainment Hub
Zaidi ya wakazi 35,000 kutoka Kaunti ya Kirinyaga wamefaidika kutokana na miradi ya maji safi huku vijana na makundi mbalimbali yakipata msukumo wa kibiashara. Mradi huo chini ya Gavana wa Kirinyaga Anne Waiguru umewezesha kina mama na vijana wasiojiweza kutoka wadi 15 kupokea misaada ya kujikimu kimaisha. Baadhi ya bidhaa walizopokea ni mifereji ya maji, viti na mahema kwa vikundi tofauti. #KTNKenya #NewsChannel #BreakingNews #KenyaNews #ktnprime #livestream #livenews
SUBSCRIBE to our YouTube channel for more great videos:
https://www.youtube.com/ktnnewskenya
Follow us on Twitter: https://twitter.com/KTNNewsKe
Like us on Facebook: https://www.facebook.com/KTNNewsKenya
KTN News is a leading 24-hour TV channel in Eastern Africa with its headquarters located along Mombasa Road, at Standard Group Centre. This is the most authoritative news channel in Kenya and beyond.
Watch KTN Live http://www.ktnnews.com/live
Watch KTN News http://www.ktnnews.com
Follow us on http://www.twitter.com/ktnnews
Like us on http://www.facebook.com/ktnnews