14 Sep 2026 10:37 am | Citizen TV 589 views Duration: 1:08 Mwanasiasa Abdiaziz Aden ameidhinishwa na familia yake ya Mahamed Mahamud kuwania ubunge wa Wajir Magharibi katika uchaguzi wa 2027.