Skip to main content
Skip to main content

Achani aongoza kuapishwa kwa makamishna wapya wa bodi ya uajiri Kwale

  • | Citizen TV
    333 views
    Duration: 2:09
    Gavana wa Kaunti ya Kwale Fatuma Achani pamoja na Naibu wake Chirema Kombo wameongoza hafla ya kuapishwa kwa makamishena wapya wa bodi ya uajiri wa Kaunti ya Kwale katika Makao Makuu ya Kaunti ya Kwale.