Skip to main content
Skip to main content

Ada na gharama za shule zatatiza ndoto za baadhi ya wanafunzi licha ya elimu ya bila malipo

  • | Citizen TV
    1,082 views
    Duration: 3:01
    Mpango wa elimu ya bila malipo umewawezesha mamilioni ya watoto kutoka familia zisizojiweza kupata elimu. Hata hivyo, kwa baadhi ya wanafunzi, ada za ziada zinazotozwa na shule pamoja na gharama za mahitaji mengine zimekuwa kikwazo katika kufikia ndoto zao. Katika taarifa yake, Brenda Wanga anaangazia masaibu ya mwanafunzi wa kidato cha tatu mwenye umri wa miaka 17, ambaye sasa anauza mboga katika kibanda baada ya kukosa karo ya shule.