Skip to main content
Skip to main content

ADRA yazindua kampeni dhidi ya dhuluma za kijinsia Turkana

  • | Citizen TV
    197 views
    Duration: 1:37
    Kama njia ya kukabiliana na ongezeko la visa vya dhuluma za kijinsia katika kaunti ya Turkana, ADRA imezindua kampeni ya kupambana na visa hivyo na kuhakikisha waathiriwa wanaokolewa na kupewa usaidizi.Shirika hilo limesema kampeni hiyo inalenga kuimarisha uhamasishaji, kuzuia ukatili wa kijinsia na kuhakikisha waathiriwa wanapata huduma za kisheria, afya na ushauri nasaha