Skip to main content
Skip to main content

Afisa wa ANU azuiliwa kwa tuhuma za wizi wa Sh60 milion

  • | Citizen TV
    2,784 views
    Duration: 2:50
    Afisa mmoja wa upelelezi kutoka Kitengo cha Kupambana na Ulanguzi wa Dawa za Kulevya (ANU) atazuiliwa kwa siku nne kabla ya kujua hatma yake baada ya kukamatwa kwa madai ya kuhusika na wizi wa shilingi milioni 60. Raphael Wafula anadaiwa kushirikiana na maafisa wengine wa polisi pamoja na raia kuwateka nyara watu wawili kabla ya kuiba fedha hizo na baadaye kuwatupa katika barabara ya Mai Mahiu.