Skip to main content
Skip to main content

Afisa wa KWS atoa ushahidi katika kesi ya Brian Odhiambo

  • | Citizen TV
    3,470 views
    Duration: 2:59
    Kesi ya kutoweka kwa mvuvi Brian Odhiambo iliendelea leo katika Mahakama ya Nakuru, ambapo afisa wa nne wa Huduma ya Wanyamapori Kenya, KWS, alitoa ushahidi wake. Michael Wabukhala, ambaye ni miongoni mwa maafisa sita wanaokabiliwa na mashtaka ya kuhusika na kutoweka kwa Odhiambo, alijikuta pabaya baada ya kutoa taarifa kinzani kuhusu matukio ya siku hiyo. Chrispine Otieno anaripoti.