Skip to main content
Skip to main content

Afueni ya ushuru kwa wanaopata chini ya Sh30,000 yagonga mwamba

  • | Citizen TV
    11,894 views
    Duration: 1:50
    Wakenya wanaolipwa mshahara wa chini ya shilingi 30,000 sasa watalazimika kungoja zaidi kabla ya kupata afueni ya kutolipa ushuru wowote, huku Waziri wa Hazina ya Kitaifa John Mbadi akishindwa kutaja mikakati ya kuwaondoa kwenye orodha ya wanaolipa ushuru. Rais William Ruto na Waziri Mbadi walikuwa wameahidi kuleta afueni hiyo katika bajeti ya mwaka huu.