9 Sep 2026 10:55 am | Citizen TV 10,149 views Duration: 2:47 Kenya imekuwa mwenyeji wa wakimbizi kutoka mataifa mbalimbali ya Afrika kwa miaka mingi. Hata hivyo, agizo la Rais Ruto kuhusu wakimbizi limeibua hofu na maswali kuhusu mustakabali wa ulinzi wa wakimbizi nchini.