Skip to main content
Skip to main content

Ajali Fort Tenan yaua 8, vifo barabarani vyafikia 31 mwaka huu

  • | Citizen TV
    2,756 views
    Duration: 2:46
    Watu 8 zaidi wamefariki kwenye ajali za barabarani huku idadi ya watu waliofariki tangu kuanza kwa mwaka huu ikifikia watu 31. Ajali hii ya punde ikitokea eneo la Fort Tenan kaunti ya Kericho ambako watu 6 wamefariki baada ya basi kugongana na trela