Skip to main content
Skip to main content

Ajira ya kazi Saudi Arabia

  • | Citizen TV
    2,317 views
    Duration: 11:37
    Madereva wa malori wanaendelea kufanyiwa majaribio ya kazi hiyo katika uwanja wa Chuo Kikuu cha Kenyatta, huku kampuni ya M-Ajira ikilenga kuwasajili madereva 500 watakaoajiriwa nchini Saudi Arabia. Zoezi hilo linaendelea kushuhudia idadi kubwa ya waliojitokeza, huku shughuli hiyo ikitarajiwa kufanyika mjini Mombasa kesho