- 165 viewsDuration: 7:28Katika juhudi za kupunguza uchafuzi wa mazingira unaotokana na mrundiko wa mitumba katika kaunti ya Kilifi, kundi moja la kina mama mjini Malindi limejitosa katika mradi wa kununua na kuchakata mabaki ya mitumba na kuyabadilisha kwa kushona bidhaa mbalimbali za nguo zilizoboreshwa na kuziuza.