Skip to main content
Skip to main content

Marais wa Afrika waliowahi kufungwa kabla ya kuingia madarakani

  • | BBC Swahili
    23,890 views
    Duration: 2:07
    Je, unajua baadhi ya marais wa Afrika waliwahi kufungwa kabla ya kuingia madarakani? Kutoka Nelson Mandela wa Afrika Kusini hadi Hakainde Hichilema wa Zambia na Bassirou Diomaye Faye wa Senegal, ni baadhi ya viongozi waliowahi kuzuiliwa au kutumikia kifungo kutokana na harakati zao za kisiasa. Kwa wengine, gereza halikuwa mwisho wa safari yao bali sehemu ya safari iliyowafikisha kwenye uongozi wa nchi zao. Hawa ni baadhi ya viongozi wa Afrika waliowahi kufungwa kabla ya kuwa marais. #bbcswahili #uongozi #utawala #siasatdaily Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw