Skip to main content
Skip to main content

Akina mama Samburu na Laikipia wahimizwa kujitosa katika siasa

  • | Citizen TV
    260 views
    Duration: 2:40
    Akina mama kutoka kaunti ya samburu na Laikipia, wametakiwa kukabili viunzi vya mila na kujitosa siasani kusaka nyadhifa za uongozi,ili kuleta mabadiliko ya uongozi kwenye jamii.