Skip to main content
Skip to main content

Akina mama Samburu wahimizwa kuwania nyadhifa za uongozi

  • | Citizen TV
    421 views
    Duration: 3:02
    Akina mama katika kaunti ya samburu watakiwa kujitokeza na kukabili mawimbi makali na viunzi vya mila ya wafugaji na kusaka nyadhifa za uongozi katika uchaguzi mkuu ujao. Haya yamejiri katika hafla ya uzinduzi wa vuguvugu la akina mama maarufu 'warembo na Ruto,'wanaolenga kupigia debe azma ya rais William Ruto kurejea ikulu mwaka ujao. Mwanahabari wetu Bonface Barasa anaarifu zaidi.