Skip to main content
Skip to main content

Akina mama wa Diid wataka KeNHA kuongeza matuta kuzuia ajali

  • | Citizen TV
    369 views
    Duration: 1:34
    Kina mama kutoka kijiji cha Diid kaunti ya Tana River wanataka mamlaka ya barabara kuu nchini KeNHA kuongeza matuta zaidi kwenye sehemu inayoshuhudia visa vya ajali vya mara kwa mara.