Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa mlinzi wa Raila Odinga asimulia siku ya mwisho ya Raila India

  • | Citizen TV
    15,788 views
    Duration: 1:39
    Kwa mara ya kwanza, aliyekuwa mlinzi wa Raila Odinga, Maurice Ogeta, ameelezea siku ya mwisho ya Raila akiwa nchini India. Ogeta, ambaye alikuwa pamoja na Raila katika siku hiyo, ameeleza jinsi alivyojipata katika mazingira ya huzuni baada ya kukumbana na taarifa za kifo chake. Alizungumza katika makazi ya familia ya marehemu eneo la Karen, alipoandamana na timu ya Gor Mahia kuwasilisha mataji yao kwa familia ya Raila Odinga.