Skip to main content
Skip to main content

Aliyekuwa mshauri wa gavana wa Taita Taveta Geoffrey Kimonge ashtakiwa

  • | Citizen TV
    245 views
    Duration: 1:19
    Aliyekuwa mshauri wa masuala ya kisiasa wa gavana wa Taita Taveta, Geoffrey Kimonge, afikishwa mahakamani mjini Voi kwa tuhuma za kupokea shilingi milioni 8.3 kwa njia ya ulaghai mwaka 2015.